kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, picha zinazo onesha ufanisi wa hafla hiyo ni kama ifuatavyo:

picha/ Hafla ya Maulidi ya kuzaliwa Mtume (saw) yafanyika katika kituo cha J'amiatul-Mustafa nchini Tanzania
Hawza/ Kituo cha J'amiatul-Mustafa nchini Tanzania chini ya usimamizi wa Dkt. Aly Taqawi, Raisi na mwakilishi wa J'amiatul-Mustafa nchini Tanzania, kimefanya maadhimisho ya hafla ya Maulidi ya mtume Muhammad (saw), huku wageni mbali mbali wakihudhuria katika hafla hiyo.
Maoni yako